Waziri
mkuu wa Pakistan mheshimiwa Yousaf Raza Gilani ame apishwa na
rais Perverz Musharaff. Bwana Gilani anatarajiwa ku rahisisha
unguvu wa utawala wa rais Musharraff unaosaidiwa na Amerika.
Waziri
mkuu huyu ali kuwa mfuasi maalum wa marehemu bi Benazir Bhutto
aliye ua hivi majuzi.
Moja kwa
moja mheshimiwa Gulani ali toa agizo ku acha huru majaji walio
kamatwa chini ya utawala wa ghafla wa rais Musharraff mwaka
jana.
IRAQ
Mapigano
makali yame anza jijini Bassra kutokana na mashambulizi ya
maelfu wa wanajeshi wa Iraq dhidi ya wanajeshi wa gha’mbo wa ki
Shia katika kusini mwa Iraq.
Waziri
mkuu wa Iraq bwana Noori Maliki yuko jijini Bassra kwa ku
shahidi shambulizi hili. Hii ni siku moja baada yak u ahidi ku
weak hali ya usalama.
Bassra
pako mikono ya makundi nyenye silaha, kama jeshi la Mehdi.
Jeshi hili
lili sema lita piga maovu kwa maovu ikiwa wanajeshi wake waki
sumbuliwa chini mpango wo wote wa usalama.
UGIRIKI
China ime
laumu waandamanaji walio sumbua sherehe yaku anzisha mchezowa
Olimpiks nchini Ugiriki. Ika sema tendo laa ni lenye aibu..
Msemaji wa
wizara ya mambo ya nje bwana Qin Gang ali sema sherehe ya
Olimpiks ni kwa faidha ya binadamu wote. Kwa hivyo ni kitu cha
aibu kwa mtu ye yote ku haribu sherehe hii.