TIBETI
Serekali ya Tibet yakamata watuhumiwa 24 kwa jinai la kichaka
baada majeshi kushambulia maandamano ya kipinga uongozi wa
Uchina.
Afisi ya mwanasheria jijini Lhasa,yasema watumiwa hao
walikamatwa kwaku hathirisha usalama wa taifa ,shaka, ponda,
teka, kuteketeza nyumba na jinai za hatari mbaya siku ya ijumaa.
Walakini Dalai Lama amesema yuko
tayari kukutana na viongozi wa Uchina pamoja na Rais Hu Jin
Tao.
Lakini mkimbizi wa Tibeti mkuu wa dini la Bhuda alikataa
kukutana na viongozi wa Uchina jijini
Beijing hadi kuna maendeleoya ukweli . alisema ata furahi
kukutana nao penginepo.