Uchunguzi
 

Maandishi Matupu

Karibu Kwenye Idhaa Ya KiSwahili Ya Sauti Ya Nijeria.......................

Wakaazi wa patio mia mmoja wame jisalimisha kwa polisi nchini Tibet kutoka maamano dhidi ya China , katika mji mkuu wa Lhasa .

Wakaazi hao walijisalimisha amri kabla ya muda wa mwisho ulio tangazwa na mamlaka, ilyo tangaza kutoa adhabu kwa wao wasio ji salimisha amri.

Wa piga naji wa sema polisi  wame anza kupekua nyumba na ku kamata watu.

China ime shtaki Dalai Lama kwa maandamano hayo.Lakini Dalai Lama aliyepata tuzo la Nobel la amani mwaka wa 1989, kwa aandamano bila ya ghasia, alikata mashtaka hayo.

Ametoa mwito kwa uchunguzi wa kimataifa ili kujua sababu za maandamano hayo.

IRAQ

Polisi nchini Iraq wa sema mhanga wa kike mmoja ame ua watu wa tatu na ku jehuria kumi na wa wawili wengineo karibu na kituo cha bus, mashariki ya kazkazini mwa jijini Baghdad .

Ofisa mmoja alitangaza kwamba shambulizi hili lilifanyika siku ya jumatano katika eneo la Diyala.

Ripoti zisema wagaidi siku hizi hutumia wanawake zaidi kwa kuwa wahanga, kwa sababu hawa chunguzwi kama wanaume

 

 
 

Home | Contact | VON | Contact Us | archive
Webmaster@voiceofnigeria.org :Change Password :VON Staff Sign Up
Copyright© 2007. All Rights Reserved Voice Of Nigeria. Developed by: VON ON-LINE

7255KHz 41m; 9690KHz 31m; 11770KHz 25m; 15120KHz  19m