Uchunguzi
 

Maandishi Matupu

Karibu Kwenye Idhaa Ya KiSwahili Ya Sauti Ya Nijeria.......................
Habari Muhimu

BUNGE LA TAIFA NCHINI NIGERIA LITAANZA MWEZI UJAO KUZIBADILISHA SHERIA ZA TAIFA. 

NIGERIA IMEZINDUA KAMATI YA SAYANSI KIMATAIFA KWA KUSAIDIA HARAKA MAENDELEO NCHINI. 

COMORO IMETEKA KISIWA CHA ANJUAN KUTOKA WAASI. 

RAIS WA PAKISTANI AMEAPISHA WAZIRI MKUU MPYA.

Sikilize

  • Muziki
  • Vipindi

Lugha

Vipindi

Seneti nchini Nigeria limetangaza kwamba wataanzilia tena kuunda kamati itayo zibadilisha sheria za taifa. ......Maelezo zaidi

Kisiwa cha Anjouan kimetekwa masaa ma chache kiisha jeshi la Muungano wa Africa kuwasili kwakuunga mkono majeshi ya serekali kwaku mutimua coloneli muasi Mohamed  Bacar aliye chukua madaraka kisiwani humo mwezi wa Mei......Maelezo zaidi

 

Waziri mkuu wa Pakistan mheshimiwa  Yousaf Raza Gilani ame apishwa na rais Perverz Musharaff. Bwana Gilani anatarajiwa ku rahisisha unguvu wa utawala wa rais Musharraff unaosaidiwa na Amerika.......Maelezo zaidi

 

Home | Contact | VON | Contact Us | archive
Webmaster@voiceofnigeria.org :Change Password :VON Staff Sign Up
Copyright© 2007. All Rights Reserved Voice Of Nigeria. Developed by: VON ON-LINE

7255KHz 41m; 9690KHz 31m; 11770KHz 25m; 15120KHz  19m