Seneti nchini Nigeria limetangaza kwamba
wataanzilia tena kuunda kamati itayo zibadilisha sheria za
taifa.
Naibu kiongozi wa seneti, Chief Ike Ekweremadu
ndiye aliye nena hayo alipokuwa ajibu maswali ya waandishi wa
habari katika mji mkuu wa mkoa wa Abia.
Akieleza kuwa kuchelewa kwa kuzibadilisha sheria
hizo ilisababiswa na hatua ya bunge kutoa bajeti ya mwaka huu.
Kufwatana na masemo yake ,amesema kwamba bunge la mikoa litaitwa
pia kwakusaidia mabadiliko yale.
Mabadiliko ya sheria hizo imeombwa pia na mikoa
mingi na seneti imekwisha weak wa seneti wasimamizi wa mikoa
hizo kuchukua malalamiko yao.
Nigeria imezindua kamati kimataifa ya sayansi kwa
kufanya kazi pamoja na kuleta maendeleo haraka nchini.
Hayo yaliandikwa katika kibarua toka mjumbe wa
Tume la hesabu kali nchini liitwalo (NMC) bwana Njoku Onyekanchi
aliyesema kwamba tume hilo limezinduliwa na waziri wa majifunzo,
Doctor Igwe Aja- Nwachukwu akiwa pia mshauri wa kamati hio.
Waziri huyo ameendelea nakusema kwamba hii ni
moja ya hatua ya serekali ya sasa kwa kusahihisha makosa ya siku
zilizoisha na kuwaweka wote kwakusaidia mwenendo wa maendeleo
nchini.
Waziri huyo ameeleza tena, nakusema“ kwa Nigeria
kuwa moja wa nchi zenye kuendelea vizuri na zenye uchumi staafu
itatubidi tukuze Sayansi na Teknolojia.
Mwanamemba moja wa bunge nchini Nigeria Bwana
Chineye Ike amesema kuwa kusikilizwa kwa maafisa mbele ya tume
la wakilishi kufwatana na swala la ukosefu wa umeme, itawasaidia
wengine kwenye huduma hizo na nyingine ku tafakari na kufanya
juhudi ili kutoa vema huduma zile.
Waendeza kesi hio wamesema kwamba hii ni hatua
muhimu inayo onyesha kwa taifa lote namna gain serekali ya sasa
ina lengo la kuleta sheria, maendeleo na kukuza uchumi nchini
kote.
Bwana Ike, aliye mwanamemba wa kamati ya huduma
za moto wa umeme kwenye yume la wakilishi, ameonya kuwa
kumalizika kwa kesi hii, itakuwa kama ushuhuda kwa maafisa
wengine katika huduma hizo na nyingine katika siku zijazo.