Serekali ya
Nigeria ime zinduwa kamati ya
taifa kwa mipango kwa kuhakikisha kuhuzuria kwa faida katika
mkutano wa mataifa kwa mafuta mabichi utakao fayinka mjini
Madrid, miji kuu wa Uspania.
Aliyesema hayo, ni msimamizi wa
kamati hiyo Dkt. Levi Ajunuma, alipokuwa wizarani
Lagos, kusini mashariki ya
Nigeria.
Kichwa cha mkutano huo wa
kilele wa mwaka huu ni “ULIMWENGU NJIANI KWA MABADILIKO”. Bwana
Ajunuma ame onya tena 0kwa0m0ba Nigeria
ni moja ya nchi kuuu ulimwenguni inayo zaa mafuta na mvuke na
inahatua muhimu wa kukuzahuduma hizo, nakuuza mafuta kwa mataifa
yote kwa bei raisi.
Amesema tena kuwa mkutano huo
utaipatiya Nigeria nafasi
yakufunua mpango wa saba wa rais Musa Yard’dua kwa
Nigeria kuwa moja ya nchi kuu
duniani kwa kutoa na kuuza mafuta kwa mataifa mengine.
Kamati ya seneti kwa huduma za
majifunzo wameileta suluhu didhi ya mabishano kwenye chuo kikuu
cha Ilori na Kwara kuhusu kufukuzwa kwa maprofesa 49 wanamemba
wa muhungano wa maprofesa wa vyuo vikuu ASSU.
Wanakamati wa seneti kwa
majifunzo wame toa suluhu wakiomba maprofesa walio fukuzwa
kazini kuomba msamaha haraka kwa tume unao ongoza vyuo vikuu
nchini.
Wakiomba pia kwa tume hiyo kuwa
samahe bila shida yeyote na kwa muda mfupi wa rudishwe kazini.
Mwandishi wetu wa Sauti ya
Nigeria Obiora Ani amesema
kwamba seneti waliwatakia wanigeria wote sherehe ya Id-Maulud.