DARFUR/ANNAN
Katibu mku
zamani wa Umoja wa Mataifa Bwana Kofi Annan amekana onyo kwamba
anaweza kuchukua kazi ya upatanisho wa ghasia katika Darfur
nchini Sudan.
Kundi ya
uasi katika Darfur, The Justice and Equality Movement (JEM) ya
dai mazaungumzo ya amani na serekali ya Sudan na inataka Bwana
Annan kupatanisha.
Akiulizwa
kama atahusikana na Sudan, Bwana Annan alisema kwamba tayari
wako wajumbe muhimu wanayo ongoza suala humo na una hitaji
kubakia hivyo.
Mjumbe wa
Umoja wa Mataifa, Jan Eliasson na Mjumbe wa Umoja wa Afrika
Salim Ahmed Salim wana ongoza bidhi ya kupatana baina ya makundi
ya uasi mbali mbali na serekali ya Sudan ili kukomesha vita
yaliye anza mwaka 2003.
AU/COMOROS
Kikosi
mpya cha majeshi ya kulinda amani ya Umoja wa Afrika (AU) kime
fika visiwa vya Comoros vya Moheli siku ya Ijumaa and kuungana
na majeshi ya Comoros kwa nia ya kuteka tena kisiwa cha uasi
Anjouan.
The Indian
Ocean, bahari yenye visiwa vidogo vingi baina ya Madagascar na
Msumbichi, azikuungama uchaguzi tena wa kiongozi wa Anjouan,
Coloneli Mohamed Bascar mwezi wa Juni mwaka 2007.
Ripoti ya
sema jumla wa majeshi mia moja hamsini wa Tanzania walifika mji
wa Fomboni katika Moheli, kisiwa kidogo kuliko visiwa tatu siku
ya Ijumaa.
Pia ripoti
iliendelea kwamba majeshi ya Afrika zaidi wana hitaji siku ya
Ijumaa hii ambayo kikosi cha kwanza cha majeshi mia mbili wa
Sudan na mia moja hamsini wa Tanzania walifika siku ya Alhamisi.