KENYA
Umoja wa Mataifa umesema kwamba wale wote waliotenda majinai ya
hatari wakati ghasia za kura zilipo zuka
Kenya bila kusukumwa na mtu
wewote, hawata achiliwa huru bila kupewa malipizi kisheria.
Katika ripoti ya Umoja wa Mataifa waliotoa siku ya Jumatano,
wame omba maafisa wa serekali ya Kenya
kuwa fuatilia na kuweka mbaroni watendaji wa majinai wakati ya
ghasia za kura, wakiwemo maafisa wa askari wa polisi.
Kiongozi wa upinzani, Raila Odinga
pamoja na Rais Mwai Kibaki wali
onya kuwa washindi wa kura za kirais, neno lililo zusha
kumwangika kwa damu kwa muda wa mawiki nchini humo.
Zaidi ya watu elfu moja wali fariki katika ghasia za kura ya
urais na kuleta neno la ubaguzi wa kikabila na mabishano dhidi
ya ardhi na ugawanyaji wa matuda ya kiuchumi.
CHAD
Kiongozi wa kikosi cha muungano wa ulaya amesema kwamba, waasi
walioko karibu na mpaka wa Chad na
Sudan hawazuru vikosi vyake kwa kuendesha oparesheni zao
za kulinda raia na wakimbizi gimboni humo.
Lutenati Jenerali wa Irelandi Bwana Patrick Nash ame eleza hayo
kwa vyombo vya habari akisema tena kuwa waasi walio kimbia toka
mji kuu Ndjamena mwanzoni mwa mwezi wa Februari,wapo sasa
mashariki ya nchi hio.
Amesema kwamba waasi hao hadi sasa hawazui kikosi chake kufanya
kazi na kuongeza kusema kwamba waasi hao wako karibu na mpaka wa
Chad na Sudan.
Alikana masemo ya serekali ya Chad ilio tangaza kwamba waasi hao
wame vukia ngambo ya Sudan kwa
kutayarisha shambulio mpya dhidi ya serekali yake.
Muungano wa ulaya ume fanya hatua yake muhimu kwa kuwa tuma
vikosi vyake kulinda amani nchini Chad na wengine kwenda Jamhuri
ya Kati kwa kulinda amani..