Uchunguzi
 

Maandishi Matupu

Karibu Kwenye Idhaa Ya KiSwahili Ya Sauti Ya Nijeria.......................

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa, bwana Ban Ki Moon ame changilia jumia ya ki mataifa ku jenga mpango wa amani nchini Somalia kwa kuongeza bidhii za kisiasa za umoja wa mataifa na ku pelekea vikosi vipatavyo elfo nane pale.

Aka sema njia hii ita wezesha wanajeshi wa Ethiopia ku ondoka kutoka Somalia baada ya wao wanajeshi walipo saidia serikali ya Somalia kushinda makundi wa Islam mwezi wa December, mwaka wa 2006.

Katika riporti iliyotarajiwa kwa muda mrefu kwa baraza la usalama bwana Ban aka sema umoja wa mataifa una angalia njia tatu kwa ku pata amani baina ya serikali ya mpito na makundi ya upinzani.

Habari nyengine isema kwamba amerika aime fafanua kundi la wanaga’mbo la al sha baab nchini Somalia kama kundi la wagaidi kutoka nje.

Kundi hili la Al shabaab ni kundi la kijeshi la baraza la islam la Somalia lililo ongoza takriban Somalia kote kwa nusu ya mwaka wa 2006, mpaka serikali ya  mpito ya Somalia ilipo wa shinda kwa kupitia msaada kutoka wanajeshi wa Ethiopia .

Kiongozi wa kundi hilibwana Aden Heshi Farah Ayro ali pata bahati kwa kusi ua katika shambulizi la amerika mwezi wa Januari, mwaka wa 2007. 

ZANZIBAR

Waongozi wa upinzani katika Zanzibar wa tangaza kwamba wame fanya patano na Chama Cha CCM kinacho tawala, kwa ku pata serikali ya umoja.

Kiongozi wa chama cha Civic United Front bwana Seif Hamad ali tangaza kwamba serikali hii ita thibitishwa hivi karibuni.

Patano hili lili fanyika baada ya mzima wa mazugumzo, kutoka na uchaguzi mwenye jeuri, mwaka wa 2005.

Bwana Hamad haku toa maelezo zaidi juu ya utawala huu.

 
 

Home | Contact | VON | Contact Us | archive
Webmaster@voiceofnigeria.org :Change Password :VON Staff Sign Up
Copyright© 2007. All Rights Reserved Voice Of Nigeria. Developed by: VON ON-LINE

7255KHz 41m; 9690KHz 31m; 11770KHz 25m; 15120KHz  19m